alpha walk
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 215
- 206
TUsubiri maelezo yaliyokamilikaWote waliopandishwa bus kwa Malkia ni waafrika tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TUsubiri maelezo yaliyokamilikaWote waliopandishwa bus kwa Malkia ni waafrika tu?
Yaliyokamilika yanasema marais wote( waafrika na mabeberu) wamepanda mabasi kasoro biden na pmTUsubiri maelezo yaliyokamilika
Pm hapendi dharau za kukaa kwenye daladalaYaliyokamilika yanasema marais wote( waafrika na mabeberu) wamepanda mabasi kasoro biden na pm
Daladala limezua jambo kwenye msiba wa malkiaPm hapendi dharau za kukaa kwenye daladala
Malkia ameshazikwa teyariDaladala limezua jambo kwenye msiba wa malkia
Teyari ameshakamilisha ratiba yake, huku nyuma ametuachia gumzo la daladalaMalkia ameshazikwa teyari
Nalog off Z
Daladala mama aliwahi dirishaniTeyari ameshakamilisha ratiba yake, huku nyuma ametuachia gumzo la daladala
Dirishani ile siti ina raha yake, kama huamini nenda ukakate tikiti ya kwenda mkoa ukiletewa listi utaona siti za dirishani nyingi zishachukuliwa, mara chache sana kukuta siti za dirishani waziDaladala mama aliwahi dirishani
Nalog off Z
Wazi huzibwa na kituDirishani ile siti ina raha yake, kama huamini nenda ukakate tikiti ya kwenda mkoa ukiletewa listi utaona siti za dirishani nyingi zishachukuliwa, mara chache sana kukuta siti za dirishani wazi
Kitu kizito na chenye ncha kaliWazi huzibwa na kitu
Nalog off Z
Kali nimeiona Maputo leo hiiKitu kizito na chenye ncha kali
Hii sasa ngumu kumezaKali nimeiona Maputo leo hii
Nalog off Z
Kumeza dawa kunanishinda hadi nimuone LenieHii sasa ngumu kumeza
nilikumiss na mimi pia kwa kua muda sijakuona ktk uziLenie niko hapa, na si nilikumiss
Uzi ulinipotea, nilikua siuoninilikumiss na mimi pia kwa kua muda sijakuona ktk uzi
Siuoni mwelekeo wa safari yetuUzi ulinipotea, nilikua siuoni
Yetu macho na masikio, ila tunawaombea mfanikiweSiuoni mwelekeo wa safari yetu
Mkate mkavu na chai ya rangiMfanikiwe ninyi nyote msiokata tamaa kupigania mkate !!