Mkalimani wa Bibi
JF-Expert Member
- Sep 6, 2017
- 801
- 3,143
Kifara kwa dunia hii ya facebookMapenzi ni kitu cha kifara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kifara kwa dunia hii ya facebookMapenzi ni kitu cha kifara
Kifara kwa dunia hii ya facebook
Inadharaulika kwa sababu haina mvutoFacebook inadharaulika
Mvuto hutokana na jinsi ilivyotengenezwa. Kama imetengenezwa vibaya haiwezi kuvutia hata kidogoInadharaulika kwa sababu haina mvuto
Kidogo changu ni kuwapa na wahitaji masikini na ombaomba wa mtaani.Mvuto hutokana na jinsi ilivyotengenezwa. Kama imetengenezwa vibaya haiwezi kuvutia hata kidogo
Mtaani unakoishi wewe ndo utawapa hicho kidogo au popote?Kidogo changu ni kuwapa na wahitaji masikini na ombaomba wa mtaani.
Popote haitoleta maana ntaanzia mtaani kwanguMtaani unakoishi wewe ndo utawapa hicho kidogo au popote?
Kwangu mimi ningeangalia uhitaji, na siyo urafikiPopote haitoleta maana ntaanzia mtaani kwangu
Urafiki Mimi sio kigezo maana hapa posta masikini ni wengi ombaomba na wengi hawana viungo vya Mwili vyoye hivyo lazima nianzie huku MkuuKwangu mimi ningeangalia uhitaji, na siyo urafiki
Mkuu, kama urafiki siyo kigezo kwako, basi hicho unachotaka kugawa, mgawie yeyote anayehitaji.Urafiki Mimi sio kigezo maana hapa posta masikini ni wengi ombaomba na wengi hawana viungo vya Mwili vyoye hivyo lazima nianzie huku Mkuu
Anayehitaji ntampa endapo ntaoneshwa na Mungu kuwa huyu ni muhitaji maana, niliwahi kumpa mtu hela akaenda kununua sigara. Wakati Mimi aliniomba hela ya kula ugali .Mkuu, kama urafiki siyo kigezo kwako, basi hicho unachotaka kugawa, mgawie yeyote anayehitaji.
Ugali, labda alitumia neno hilo kukufanya umuonee huruma. Siku nyingine, mtu akikuomba chakula, mpeleke akale panapouzwa chakula huku wewe unamlipa muuzajiAnayehitaji ntampa endapo ntaoneshwa na Mungu kuwa huyu ni muhitaji maana, niliwahi kumpa mtu hela akaenda kununua sigara. Wakati Mimi aliniomba hela ya kula ugali .
Muuzaji ndo mtu sahihi hata Mama yangu nimeacha kumpa hela mkononi maana alikuwa anawapa wapiga kura wake waliomchagua katika ujumbe wa nyumba kumi , sasa hivi nampa muuzaji wa duka la matumizi ili ampatie mnahitaji yake ya nyumbani.Ugali, labda alitumia neno hilo kukufanya umuonee huruma. Siku nyingine, mtu akikuomba chakula, mpeleke akale panapouzwa chakula huku wewe unamlipa muuzaji
Nyumbani kufanya hivyo ni sawa. Maana unampa mtu hela ya matumizi lakini anaishia kugawa. Dawa ni kulipa dukani wakafuate mahitaji huko. Sema wanaweza wakauza baada ya kuvifikisha nyumbaniMuuzaji ndo mtu sahihi hata Mama yangu nimeacha kumpa hela mkononi maana alikuwa anawapa wapiga kura wake waliomchagua katika ujumbe wa nyumba kumi , sasa hivi nampa muuzaji wa duka la matumizi ili ampatie mnahitaji yake ya nyumbani.
Nyumbani bajeti inajulikana sukari kilo tano na mchele kilo 20 hivyo natuma 85k endapo wakiuza Basi mimi ntakuwa Sina makosaNyumbani kufanya hivyo ni sawa. Maana unampa mtu hela ya matumizi lakini anaishia kugawa. Dawa ni kulipa dukani wakafuate mahitaji huko. Sema wanaweza wakauza baada ya kuvifikisha nyumbani
Makosa ya kuuzwa yakifanywa, kumbuka watarudi tena kwako kukuomba uwanunulia mahtaji maana yatakuwa yamekwisha kwa kuuzwa.Nyumbani bajeti inajulikana sukari kilo tano na mchele kilo 20 hivyo natuma 85k endapo wakiuza Basi mimi ntakuwa Sina makosa
Uzima upo wa kutosha pamoja na familia zetu tunashukuru Mungu kwa kutujalia uhai mpaka sasa na leo ni jumapili ya pili ya mwaka mpya siku zinaenda na uzee unakaribia.Kuuzwa kwa wananchi wa taifa la nyikani kumekaribia.
Mwaka wa kumi na moja sasa😅 aisee hope wote mlio comment mna uzima
Unakaribia kuchanganyikiwa kama hadi leo hujui kwamba usipoziba ufa utajenga ukuta. Tafuta ada ya mtoto mapema kesho waalimu hawapokei maelezo wanapokea risitiUzima upo wa kutosha pamoja na familia zetu tunashukuru Mungu kwa kutujalia uhai mpaka sasa na leo ni jumapili ya pili ya mwaka mpya siku zinaenda na uzee unakaribia.
Risiti ya Ada ya shule ni muhimu mzazi kwenda nayo kipindi hichi shule zinafunguliwa ili kuepuka usumbufu kwa watoto.Unakaribia kuchanganyikiwa kama hadi leo hujui kwamba usipoziba ufa utajenga ukuta. Tafuta ada ya mtoto mapema kesho waalimu hawapokei maelezo wanapokea risiti