Wa mwisho ndiyo mshindi

Urafiki Mimi sio kigezo maana hapa posta masikini ni wengi ombaomba na wengi hawana viungo vya Mwili vyoye hivyo lazima nianzie huku Mkuu
Mkuu, kama urafiki siyo kigezo kwako, basi hicho unachotaka kugawa, mgawie yeyote anayehitaji.
 
Anayehitaji ntampa endapo ntaoneshwa na Mungu kuwa huyu ni muhitaji maana, niliwahi kumpa mtu hela akaenda kununua sigara. Wakati Mimi aliniomba hela ya kula ugali .
 
Ugali, labda alitumia neno hilo kukufanya umuonee huruma. Siku nyingine, mtu akikuomba chakula, mpeleke akale panapouzwa chakula huku wewe unamlipa muuzaji
 
Muuzaji ndo mtu sahihi hata Mama yangu nimeacha kumpa hela mkononi maana alikuwa anawapa wapiga kura wake waliomchagua katika ujumbe wa nyumba kumi , sasa hivi nampa muuzaji wa duka la matumizi ili ampatie mnahitaji yake ya nyumbani.
 
Nyumbani kufanya hivyo ni sawa. Maana unampa mtu hela ya matumizi lakini anaishia kugawa. Dawa ni kulipa dukani wakafuate mahitaji huko. Sema wanaweza wakauza baada ya kuvifikisha nyumbani
 
Nyumbani bajeti inajulikana sukari kilo tano na mchele kilo 20 hivyo natuma 85k endapo wakiuza Basi mimi ntakuwa Sina makosa
 
Kuuzwa kwa wananchi wa taifa la nyikani kumekaribia.

Mwaka wa kumi na moja sasa😅 aisee hope wote mlio comment mna uzima
Uzima upo wa kutosha pamoja na familia zetu tunashukuru Mungu kwa kutujalia uhai mpaka sasa na leo ni jumapili ya pili ya mwaka mpya siku zinaenda na uzee unakaribia.
 
Unakaribia kuchanganyikiwa kama hadi leo hujui kwamba usipoziba ufa utajenga ukuta. Tafuta ada ya mtoto mapema kesho waalimu hawapokei maelezo wanapokea risiti
 
Risiti ya Ada ya shule ni muhimu mzazi kwenda nayo kipindi hichi shule zinafunguliwa ili kuepuka usumbufu kwa watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…