bway hermit
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,337
- 2,339
Tosha ni niniKupanda panda vitu bei ni uthibitisho tosha
Nini ambacho hujaelewa ?Tosha ni nini
Hujaelewa? Ambacho hajaelewa, muulize tena.Nini ambacho hujaelewa ?
Siyo kila Mwanamke ni kufanya naye ngono wengine wana gundu na laana ukigusa unafilisika.Ameeleweka alichosema au siyo
Kufilisika kujitakia..baki njia kuuSiyo kila Mwanamke ni kufanya naye ngono wengine wana gundu na laana ukigusa unafilisika.
Kufilisika kujitakia..baki njia kuu
Commitment muhimu..ila omba usikutane na pasua kichwaNjia kuu ndo sahihi japo inahitaji commitment
Kichwa cha mtu ndio akili yako sijawahi kuamini kitu kinachoitwa gunduCommitment muhimu..ila omba usikutane na pasua kichwa
Gundu huwapata wanaloliaminiKichwa cha mtu ndio akili yako sijawahi kuamini kitu kinachoitwa gundu
Wanaoliamini gundu ni wale walio fumwa katika madanguro ya wahaya vyumbani na .kupewa kesi ya uzurulajiGundu huwapata wanaloliamini
Uzurulaji ndani ya chumba kweli😂Wanaoliamini gundu ni wale walio fumwa katika madanguro ya wahaya vyumbani na .kupewa kesi ya uzurulaji
Kweli, this thread does not extinct.Uzurulaji ndani ya chumba kweli[emoji23]
Extinct means kupotea au?Kweli, this thread does not extinct.
Au, ulifikiri nimemaanishaje?Extinct means kupotea au?
Nimemaanishaje? Kama ni hivyo basi umeeleweka mkuu..uzi udumuAu, ulifikiri nimemaanishaje?
Udumu sawa, lakini usisahau sisi ndo wa kuudumishaNimemaanishaje? Kama ni hivyo basi umeeleweka mkuu..uzi udumu
kuudumisha kwa umoja na upendoUdumu sawa, lakini usisahau sisi ndo wa kuudumisha