Kifo hakikwepekiDhambi malipo yake ni kifo...
Hakikwepeki kinacho tofautiana ni Muda na wakatiKifo hakikwepeki
Chama ni mkali kuliko mayeleMaendeleo hayana chama 😅
Mayele ndo kipenzi cha wanayanga kwa sasaChama ni mkali kuliko mayele
Sasa itakuaje jamaniMayele ndo kipenzi cha wanayanga kwa sasa
Jamani ni lazima tuungane kwa dhati kuwashinda maadui hawa watatu, maradhi, ujinga na umasikini.Sasa itakuaje jamani
Kujitakia umasikini si kweli, labda ungesema hutokana na uwajibikaji hafifu kwa ngazi ya mmoja mmoja na serikali kwa ujumla.Umasikini wa Waafrika ni wa kuendekeza na kujitakia.
Ujumla wa utafutaji wa watu kwenye tovutiKujitakia umasikini si kweli, labda ungesema hutokana na uwajibikaji hafifu kwa ngazi ya mmoja mmoja na serikali kwa ujumla.
Ujumla wa utafutaji wa watu kwenye tovuti
Wapi kwengine kama sio telegram?Tovuti ya mijimama naipata wapi
Telegram kumbe kumekucha!Wapi kwengine kama sio telegram?
Kumekucha! Hakika wa mwisho katika uzii huu, ndio mshindi.Telegram kumbe kumekucha!
Hapa pana ulakini kujitangaza mshindi, comment ya mwisho tu huamua.Mshindi ndo mimi hapa.
Huamua Kama hivi mimi hapa ndo mshindi.Hapa pana ulakini kujitangaza mshindi, comment ya mwisho tu huamua.
Mshindi bado hajapatikana, mpaka pale itapotangazwa vinginevyo.Huamua Kama hivi mimi hapa ndo mshindi.