nadnan sab
Senior Member
- Jan 13, 2013
- 104
- 17
Mbona mnavuruga hii maada? neno la mwisho ni KABAANG,hilo neno NGANO limetoka wapI? katika sentensi yangu halipo! MOD anisaidie ,kwani mi ndie mshindi, neno la mwisho lilikuwa ni KABAANG! na halijaendelezwa,au alieanzisha atoe uamuzi ,KABAANG MAMBO YA KIFURUSHI CHA TIGO WIKI NZIMA BUKU TISA MPO HAPO ,MWISHO WA SHINDANO!
fubu g kaandika kubag kweli ametokoshaWe FUBU G,kwanza umechapia ,mi sikuandika KUBAG,nilitumia neno sahihi KABAANG,rekebisha kauli yako braza fubu g
fubu g kaandika kubag kweli ametokosha
nimetoa neno langu umesema sijui hata mboga sio pekee inayotokoshwakutokosha hiyo kawaida sio mboga hata maneno kalyovatipi waweza kuendelea na neno la mwisho nimetoa.
nimetoa neno langu umesema sijui hata mboga sio pekee inayotokoshwa
Davinoooooo imenikumbusha mpenzi wangu Davina.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Zenu na Yenu ni Baa maarufu Bongo.pombe kunyweni, lakini ni hatari kwa afya zenu.
Pia hata gongo linapatikanaZenu na Yenu ni Baa maarufu Bongo.