Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Mbona mnavuruga hii maada? neno la mwisho ni KABAANG,hilo neno NGANO limetoka wapI? katika sentensi yangu halipo! MOD anisaidie ,kwani mi ndie mshindi, neno la mwisho lilikuwa ni KABAANG! na halijaendelezwa,au alieanzisha atoe uamuzi ,KABAANG MAMBO YA KIFURUSHI CHA TIGO WIKI NZIMA BUKU TISA MPO HAPO ,MWISHO WA SHINDANO!

Shindano hili umelitoa wewe hebu Wacha tuendelee
 
mkuu Nadnan endelea !nilipoishia naona pesha iko juu!teh teh!
 
Shindano lazma liamuliwe na MOD huwez pata Tuzo kizembe namna hiyo.
 
We FUBU G,kwanza umechapia ,mi sikuandika KUBAG,nilitumia neno sahihi KABAANG,rekebisha kauli yako braza fubu g
 
endeleza kwa, INGINE,WENGINE,NYINGINE,ZINGINE,VINGINE,MWINGINE,,,, Me naanza; JE twaweza wapa ccm 2015, nafasi nyingine?,,,,,,Nyingine sababu za kutekwa wanahabari ni ishara gn kwa wengine,,,,,,,(ss endeleza,,)
 
Mawazo mawazo hata kichaa naye huwa anawaza. Source Lady Jaydee.
 
Back
Top Bottom