Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndogo!!?
Muulize baba salma kama ni ndogo
tulivu wapi watu wanapigwa nondo mchana kweupe.Mbeya ni jiji zuri sana na tulivu.
kweupe ndio mahali pazuri pa kuanikia chupitulivu wapi watu wanapigwa nondo mchana kweupe.
kweupe ndio mahali pazuri pa kuanikia chupi
Chupi ndo kila kitu lazima kila mtu avae kasoro masai
Moja kwa moja unatokea kwa mkurugezi alie lala na mke wa mtu jana usiku na kusahau malipo ya wafanyakazi wake
..wasimfumanie kwa sababu yeye ni kiongozi aliyejivalia ngozi ya kondoo..
Kondoo asifananishwe na wabakaji