Wa mwisho ndiyo mshindi

Hataivyo na maaskari waongezewe mishahara ili tamaa ziwapungue kwani.....
 
Pia nimegundua mchezo huu hautaisha, kwani jf ina wabishi wengi hawataki kukubali mimi ndio mshindi.
 
Mshindi ni sabuni iliyopotea mda mwingi kwa kusambaa sabuni za unga kathiir.
Ugunduzi wa Sabuni za unga umerahisisha kazi ya ufuaji kwani ufanisi wake ni zaidi ya sabuni za kipande kama vile mshindi.
 
Yetu yanawahusu nini?

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…