mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 613
- 313
Ngapi manchester walipgwa
walipigwa na kina nani
Nani ni mchezaji hodari kama mimi katika uwanja wa mbao
Ndani au nje usipojaribu hutafanikiwa
Hutafanikiwa usipoacha uwongo
Kutoaminiana ni mwanzo wa mizozo kwenye mahusiano...
Zezeta kama zito
Zinapuuziwa na ndio maana migogoro haiishi.Hoja za msingi zinapuuziwa
Zinapuuziwa na ndio maana migogoro haiishi.
(niwaone kama mtaendelea) Wanaisha kama upepo unavyovuma pyuuu!
Pyuuu Pyuuu husikika pale majangiri wanapomlenga tembo
Tembo katika mbuga zetu wamepungua sana, hawa majangiri inatakiwa nao waanze kusakwa na kuuawa.