Nguvu sio Pesa
JF-Expert Member
- Dec 5, 2013
- 380
- 284
mawazo mengi mazuri ya wananchi yameishia kwenye mafaili bila kutekelezwa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mawazo mengi mazuri ya wananchi yameishia kwenye mafaili bila kutekelezwa..
Kutekelezwa na nani?
nani anayetaka huo ujinga
hatua zipi, za kusonga mbele ama kinyume-nyumeUjinga wa kulalama bila kuchukua hatua
hatua zipi, za kusonga mbele ama kinyume-nyume
kujituma ni mmoja ya tabia za watanzania walioamka..Mpango mzimaa kujitumaaaa
walioamka?, ki vipi? watanzania wengi bado wapo usingizi wa pono hasa mwamko wao mdogo kwenye suala la katiba.kujituma ni mmoja ya tabia za watanzania walioamka..
Imechacha kwasababu magamba hawataki kutupa Tanganyika yetu