sparcus Senior Member Joined Feb 18, 2014 Posts 193 Reaction score 125 Jan 19, 2015 #4,261 Sentensi ipi? Mbona hiyo umeweza?
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,816 Jan 19, 2015 #4,262 Umeweza au umewezwa?
HOPECOMFORT JF-Expert Member Joined Feb 25, 2012 Posts 3,921 Reaction score 6,646 Jan 19, 2015 #4,263 Umewezwa pale ulipo weza kuona uwezekano wa kuweza.
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Jan 19, 2015 #4,264 Kuweza kuthubutu na kusonga mbele ndio kaulimbiu ya rais awamu ya 4 wa tanzania
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,816 Jan 19, 2015 #4,265 Tanzania ndiyo nchi pekee ambayo unaweza vuna mapesa bila kutoka jasho.
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Jan 19, 2015 #4,266 Jasho sana sana huwatoka wanaume pindi wanapokua kunako 6*6 wakitoka hapo hoooooooiiiiii
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,687 Jan 19, 2015 #4,267 mahondaw said: Jasho sana sana huwatoka wanaume pindi wanapokua kunako 6*6 wakitoka hapo hoooooooiiiiii Click to expand... Hoi taabani na penzi la grafani 11 Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mahondaw said: Jasho sana sana huwatoka wanaume pindi wanapokua kunako 6*6 wakitoka hapo hoooooooiiiiii Click to expand... Hoi taabani na penzi la grafani 11
HOPECOMFORT JF-Expert Member Joined Feb 25, 2012 Posts 3,921 Reaction score 6,646 Jan 19, 2015 #4,268 Grafan 11!!! Si mume wa jirani yako?
adyeri Member Joined Jan 17, 2015 Posts 11 Reaction score 1 Jan 20, 2015 #4,269 jirani yako anaweza kukurithi
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Jan 20, 2015 #4,270 kukurithi mume ni hatari sana HOE kuwa makini
HOPECOMFORT JF-Expert Member Joined Feb 25, 2012 Posts 3,921 Reaction score 6,646 Jan 20, 2015 #4,271 Makiniii!!! Inawezekana kweli na mapenzi hayana macho?
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,816 Jan 20, 2015 #4,272 Macho hayana pazia
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Jan 20, 2015 #4,273 Pazia langu limechafuka ngoja nikalifue...sitanii
Rosweeter JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 1,171 Reaction score 4,432 Jan 20, 2015 #4,274 Sitanii haka ka mchezo kamekuwa katamu
sajosojo JF-Expert Member Joined Apr 14, 2010 Posts 1,021 Reaction score 636 Jan 20, 2015 #4,275 Katamu sana haka kamchezo sasa kanaelekea kumaliza miaka mitatu
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,816 Jan 21, 2015 #4,276 Miaka mitatu unafikiri mchezo.
neverthatserious Senior Member Joined Jun 1, 2012 Posts 106 Reaction score 13 Jan 21, 2015 #4,277 Mchezo ni mzuri sana na nawatakia usiku mwema
M my name is Member Joined Dec 7, 2014 Posts 17 Reaction score 5 Jan 21, 2015 #4,278 mwema n Mimi peke angu uku jf
Khalidoun JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 2,835 Reaction score 4,464 Jan 21, 2015 #4,279 jf yote hii ya raia zaidi 233,900 mwema uwe wewe tu pekee? Unbelievable !!
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,816 Jan 21, 2015 #4,280 Unbelievable! is it kiswahili language?