Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Lowasa japo watu wanaimani nae lakini hatokuwa na jipya yeye mtu mmoja hatobadili utendaji wa serikali, kwani watendaji ni walewale toka enzi za Mwinyi na Nyerere tena najua baraza lake halitokosa akina Wassira, Lukuvi, Hawa Ghasia
 
Yangu macho, kwa jinsi wabunge wa chama tawala walivyo changia leo kuusiana na polisi kuzuia maandamano, wasije kumtafuta mchawi, ni wao wenyewe.
 
Back
Top Bottom