Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Kuna umuhimu tuanze kutumia solar power majumbani. Ukiweka inverter ya 2000W unaweza kutosheleza matumizi karibu yote ya nyumbani.

Serikali imeondoa kodi kwenye vifaa vya solar power. Kazi kwetu; tuanze kuziweka. Ni gharama mwanzoni, lakini faida ni kubwa. Mimi sijaweka kwangu bado, lakini ninayo hiyo azma. Nikija likzo nitafanya hiyo kazi.

Augustine Moshi

wapi wanauza dagaa
 
Dagaa wakipikwa vizuri,ni watamu maini yanasubiri
 
Back
Top Bottom