Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Vyote kwa pamoja kuonekana kama mkaa!
Mkaa una rangi sawa na akili yako maana umeshindwa kufatisha maelekezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyote kwa pamoja kuonekana kama mkaa!
Maelekezo yametolewa awali lakini mijitu migumu kuelewa
Maelezo yatolewe tena hili mijitu tuelewe
Atakaefuatia ajitahidi kufuata utaratibu
Kwa nini watu mpo wabishi hivi? Mimi si nilishashinda?
Ufatwe kwa hiari cyo kwa kulazimishana
Dumuzi,?? Itakuwa vizuri mkinipa yake maana
Kuijua ni rahisi tu we tafuta kamusi