Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Keshapatikana wapi wakati mimi ndo nafunga huu uzi hapa wakati nasubiri nione mbwembwe za lowassa hapa arusha akitangaza nia ya matumaini feki
 
Umevunjika kwasababu ya kuunga mikono sehemu nyingi
 
Tumepinda kwa kutumia pesa zao kupitia watangaza nia
 
Viongozi makini wapo UKAWA,mfano Dr.Slaa,Mbowe na Tundu Lissu.
 
Lissu ni mtu mwenye misuli,na wala huwezi kumfananisha na kabwe zitto!
 
Ndoroooobo kwelikweli.Amekimbia majukwaa.
Makongoro Nyerere vs Dr Wilbroad Slaa
 
Back
Top Bottom