Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Slaa hafai kuwa raisi, hii nchi bora ingechukuliwa na wajeda tu watunyoshe kwanza.
 
Kwanza vyama wangetupa majina ya hao wagombea wao tuwajue mapema.
 
Gani?hebu rudi darasani ukajifunze aina za maneno katika kiswahili
 
Kabisa Pepsin. Nilidhani mi mshindi jamani Wambuzi yuko wapi amkabidhi mshindi zawadi kwani amapatikana sasa.
 
Kabisa Pepsin. Nilidhani mi mshindi jamani Wambuzi yuko wapi amkabidhi mshindi zawadi kwani amapatikana sasa.

sasa Leo lazima nikutane tena na Mwanana nipewe heshima
 
Last edited by a moderator:
Cvuki niende mbali na Mwana.
Akishinda yeye nakubali,lakini si mshindani yeyote yule.Kikombe cha ushindi kinaenda kwa #Mwana au mimi Pepsin.
 
Back
Top Bottom