Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
VIP lazima uwe na ela bana c pesa za mawazoBoxer ni bora kuliko zile chupi za VIP
NALOG OFF
Mwisho wa Yanga umeshafikaMwisho
Mwisho wa Yanga umeshafika
Nalog off
Dodoma nasikia kuko ovyo ndio maana muheshimiwa sana bado yuko DarUmeshafika dodoma?
Dodoma nasikia kuko ovyo ndio maana muheshimiwa sana bado yuko Dar
Nalog off
Kwanini kila nikimtongoza demu ananikataa?Dar sasa hivi joto limezidi, sana sijui kwanini
Anakataa au unakata tamaa kumsumbuaKwanini kila nikimtongoza demu ananikataa?
Nalog off
Moyo kwelikweli Ila akikubali atakiona cha mtema kuniKumsumbua mwanamke, hadi akubali kunahitaji moyo
Umeshafika lakini je simba ?Mwisho wa Yanga umeshafika
Nalog off
Simba na Yanga ni watani wa jadiUmeshafika lakini je simba ?
Jadi ya mwafrika ni kuabudu mizimuSimba na Yanga ni watani wa jadi
Sasa nani alaumiwe?Mizimu haina nafasi sasa
Yote yalikwisha, tujipange upyaHakuna wa kumlaumu ni bora kushukuru kwa yote
Upya nakuona kwenye huu uzi baada ya muda mrefuYote yalikwisha, tujipange upya
Mrefu na mtu mfupi faida na hasara zao utaziona uzeeniUpya nakuona kwenye huu uzi baada ya muda mrefu