MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu acha pombe haikufai
Haikufai wala haikupendezi kuongea maneno kama hayoMkuu acha pombe haikufai
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Mwisho utaanza kunywa togwa!
Togwa ni moja ya pombe za kienyeji sinywi hizoMwisho utaanza kunywa togwa!
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Sana sana unakunywa mataputapu
Mataputapu sio mazuri kwa afyaSana sana unakunywa mataputapu
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Lenie hili jina nimelipenda manaake nini? nataka nimpe mtoto wangu
Wangu wa moyoni.Lenie hili jina nimelipenda manaake nini? nataka nimpe mtoto wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
tusingeweza kufika hapa bila Mungu
Kupinga mbona inawezekana hata mahakamani
Mahakamani embu kwanza tuachane na hilo..acheni ujinga nikikoment Mimi msikomenti chini yangu mi ni mshindi atakae koment chini yangu amekataa jinsia yakeKupinga mbona inawezekana hata mahakamani
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD