Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrefu na handsome
Bure tu! Kama mwanamke bila churahandsome bila hela ni sawa na bure.
Chura daah, kwahiyo tusiokua na chura imekula kwetuBure tu! Kama mwanamke bila chura
Imekula kwetu ? Hapana mi nakupenda hivo hivoChura daah, kwahiyo tusiokua na chura imekula kwetu
Kwetu hakitupwi kitu, tunakulaga hata kama chura hayupoChura daah, kwahiyo tusiokua na chura imekula kwetu
Ayupo ameenda wapiKwetu hakitupwi kitu, tunakulaga hata kama chura hayupo
Wapi nielekeze
Buza kwa lulenge tatizo ni uswahilini
Uswahilini kuna maisha rahisiBuza kwa lulenge tatizo ni uswahilini
Rahisi sana kuishi ila sijui kama atawezaUswahilini kuna maisha rahisi
Ataweza akiwezeshwa