Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Miguu 🤣 mbona hatari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miguu 🤣 mbona hatari
Salama salmini japo kuna maradi ya hapa na pale
Sehemu za mabondeni kazi wanayo
Wanayo si ndogo, leo watu wataogelea kama samakiSehemu za mabondeni kazi wanayo
Sana sana itakusababishia fangasi na magonjwa sugu
Sugu mbunge wa MbeyaSana sana itakusababishia fangasi na magonjwa sugu
Mbeya nyumbaniSugu mbunge wa Mbeya
Nyumbani ni nyumbani hata kama kichakaniMbeya nyumbani
Nyumbani ni nyumbani hata kama kichakani
Tafrani kwa mchina pale jioni ya leo, ice cream lazma ilambweKichakani huwaga kuna tafrani
Tafrani kwa mchina pale jioni ya leo, ice cream lazma ilambwe
Kuiona ngumu kwa sababu ipo katikati
Tena twende kimya kimya mlevi asijue