elly obedy
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 803
- 1,482
Mwaka mmoja na miezi saba.Mazuri yao hayakudumu zaidi ya mwaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka mmoja na miezi saba.Mazuri yao hayakudumu zaidi ya mwaka
Saba saba hapa nchinib ni tarehe adhimuMwaka mmoja na miezi saba.
Adhimu maana yake nini?Saba saba hapa nchinib ni tarehe adhimu
Sauti yenye kupasuwa anga !!
Nini maana ya neno adhimu... maana yake ukubwa/utukufu !!Adhimu maana yake nini?
Utukufu ni wake muumbaNini maana ya neno adhimu... maana yake ukubwa/utukufu !!
Muumba wa mbingu na nchi
Corona ni janga la dunia nzima
Nimeshinda ila kwa mbinde
Sasa naona mnaleta mzaha !!
Kidonda ndugu
Ndugu wakigombana Shika JembeKidonda ndugu