Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,076
- 14,775
Hiyo inamaanisha nini?Ndoano imenasa Sangara...!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo inamaanisha nini?Ndoano imenasa Sangara...!!
nini? kujifanya hujui alicho sema mwenzako?Hiyo inamaanisha nini?
Mwenzako nan apa ulikuja peke yakonini? kujifanya hujui alicho sema mwenzako?
Starxav
peke yako ndiyo hujui kama kuna CORONA?
Corona ni aina ya Garipeke yako ndiyo hujui kama kuna CORONA?
gari lenyewe mkwecheCorona ni aina ya Gari
Ugali ni chakula maarufu
Yanamwagika au yanatiririka...
Yanatiririka kuelekea bahariniUgali ni chakula maarufu
Yanamwagika au yanatiririka...
Baharini kuna samaki aina nyingiYanatiririka kuelekea baharini
Unazo wewe au mimi
Hapa wewe ni mwenyeji kabisa.
Kabisa ni aina ya pilau yenye ladha taamu !!Hapa wewe ni mwenyeji kabisa.
Taamu ndo ladha gani?Kabisa ni aina ya pilau yenye ladha taamu !!
Gani hufahamu sweet na siyo chungu !!