osmaney
JF-Expert Member
- Jan 18, 2017
- 1,042
- 998
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Corona inaua kaa nyumbani
Corona inaua kaa nyumbani
Mtu akiwa nyumbani hawezi patana nayo.Corona inaua kaa nyumbani
Kichakani ni kwa wanyama
Wanyama hakupata nafasi ya kucheza pale totenham sijui kwa nini?Kichakani ni kwa wanyama
Ubuyu mzuri ni wa babu issa kutoka zanzibar
Zanzibar wamejaa wataliiUbuyu mzuri ni wa babu issa kutoka zanzibar
watalii wamekimbia corona
Corona imesimamisha shughuli kibao dunianiwatalii wamekimbia corona
Duniani kote uchumi utayumba kwa sababu ya covid19Corona imesimamisha shughuli kibao duniani
Covid 19 imekuja kutufundisha usafiDuniani kote uchumi utayumba kwa sababu ya covid19
Usafi ndio habari ya mujiniCovid 19 imekuja kutufundisha usafi
"corona ipo tuchukue tahadhari"
Mujini ndo nini, sema mjiniUsafi ndio habari ya mujini