mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,152
- 3,473
Qiyama bado tusitishaneHapa bado hatujafikia tamati tutaendeleza hadi qiyama !!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Qiyama bado tusitishaneHapa bado hatujafikia tamati tutaendeleza hadi qiyama !!!
Tuu ukileta u moja nyuma ya t inakuwa utu
Utu wa msamaria ni wema wa moyo !!Tuu ukileta u moja nyuma ya t inakuwa utu
Moyo wangu ni nyimbo ya diamond hiyoUtu wa msamaria ni wema wa moyo !!
Moyo wangu ni nyimbo ya diamond hiyo
Kuwafunuafunua wote wachanga kwa wazee
Wazee wa pwani wanapenda sana alkasusuKuwafunuafunua wote wachanga kwa wazee
Corona hii inayoambukiza au corona gari ?
Bandarini kuna mvua
Mvua acha inyeshe tu.Bandarini kuna mvua
Sana sana ipige na radi za kutosha ndio napenda
Napenda uzi unavyoendelea kuchanja mbugaSana sana ipige na radi za kutosha ndio napenda
Mbuga unachanja vizuri sana tu , ila tatizo kuna washenzi wachache wanauharibu hawazingatii vigezo na masharti
Masharti lugha za matusi mwikoMbuga unachanja vizuri sana tu , ila tatizo kuna washenzi wachache wanauharibu hawazingatii vigezo na masharti
Mwiko kutokufuata masharti unatakiwa uanzie neno lile aliloishia mwenzako. Ndio uzi unanogaMasharti lugha za matusi mwiko
Unanoga km hivi unakua hauna mshindiMwiko kutokufuata masharti unatakiwa uanzie neno lile aliloishia mwenzako. Ndio uzi unanoga