MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Vibaya sana
Kuuliz co vbya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuuliz co vbya
San? Nan kakuambiaVibaya sana
Gan? Hlo swal vp
Vipi wewe mbona unapenda kufupisha manenoGan? Hlo swal vp
Hao ndio wale waharibifu wa lugha.Vipi wewe mbona unapenda kufupisha maneno
Mawasiliano ni muhim kwa wapendanaoLugha ni chombo muhimu cha mawasiliano.
Wapendanao hujenga amani na mahabatMawasiliano ni muhim kwa wapendanao
Mahabat yanafanya mtu anawiri na kuvutiaWapendanao hujenga amani na mahabat
Kuvutia kunakufanya utembee na baraka za MunguMahabat yanafanya mtu anawiri na kuvutia
Kuvutia humlazimisha rijali azamishe mkono mfukoni...Mahabat yanafanya mtu anawiri na kuvutia
Kuvutia kunakufanya utembee na baraka za Mungu
Mwenyezi Mungu ni mwingi wa rehemaKuvutia kunakufanya utembee na baraka za Mungu
Awabariki Amani na afya yenye kudumuMungu mwenye enzi na awabariki
Awabariki Amani na afya yenye kudumu
binadamu ni watu wabayaAfya yenye kudumu ni kitu muhimu kwa binadamu
Wabaya hawafi mapemabinadamu ni watu wabaya
Mapema sana kukata tamaaWabaya hawafi mapema
Tamaa na uchoyo ni sifa ufisadi..Mapema sana kukata tamaa