T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Hatari sana wakuu kuzama chumviniKugegeda bila kinga ni hatari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sana wakuu kuzama chumviniKugegeda bila kinga ni hatari
Chumvini kuna kansaHatari sana wakuu kuzama chumvini
Kansa ya shingo ya kizazi huwa inasababishwa na nini?Chumvini kuna kansa
Kansa ya shingo ya kizazi huwa inasababishwa na nini?
Sifahamu kirefu cha JfNa nini ? Hata sifahamu
Sifahamu kirefu cha Jf
Forum kumbeJf ni jamii forum
Forum kumbe
Aisee gari la kifahari limepata ajali !!Kumbe aisee
Ajali ni pale unapo-comment ukitegemea kuwa mshindi wa uzi wenye miaka minane sasa na isiwe hivyo.Aisee gari la kifahari limepata ajali !!
Ajali ni pale unapo-comment ukitegemea kuwa mshindi wa uzi wenye miaka minane sasa na isiwe hivyo.
Words only cannt explain the meaning of this thread.Isiwe hivyo iwe hivyo nitakomenti mpaka jf next generation watapambana na I'd yangu nyie wengine mtaishia njiani mshindi ntakuwa Mimi tu
Mark my words
Words only cannt explain the meaning of this thread.
Bullshit kwa kiswahili ina maana gani?This thread is bullshit
Maana gani? Upuuzi.Bullshit kwa kiswahili ina maana gani?
Upuuzi ni kuandika kiingereza wakati uzi huu ni wa kiswahili
Upuuzi ni kuandika kiingereza wakati uzi huu ni wa kiswahili
Taifa? Taifa Stars au uwanja taifa?Kiswahili ni lugha ya taifa
Taifa StarsTaifa? Taifa Stars au uwanja taifa?
Taifa stars haina washabiki kabisaTaifa Stars