osmaney
JF-Expert Member
- Jan 18, 2017
- 1,042
- 998
Tu, Tu tu Tu Tu Tu Tu tuUwoya anapenda kudanga tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tu, Tu tu Tu Tu Tu Tu tuUwoya anapenda kudanga tu
Tu ni jina la KikoreaTu, Tu tu Tu Tu Tu Tu tu
Kikorea kigumu sana kukielewaTu ni jina la Kikorea
Kukielewa cha kuongea sio kazi Tatizo cha kuandika.Kikorea kigumu sana kukielewa
Na ukishalewa unaanza kuyumbaKikorea kigumu sana kukielewa
Maandiko takatifu yanatufunza sanaKukielewa cha kuongea sio kazi Tatizo cha kuandika.
Sana sana yanatufundisha namna ya kuwa karibu na Mungu.Maandiko takatifu yanatufunza sana
Mungu ni pendo... Apenda watuSana sana yanatufundisha namna ya kuwa karibu na Mungu.
Watu sasa hawapendekiMungu ni pendo... Apenda watu
Nyumba nzuri ni ile yenye watoto wakaliHawapendeki wale watoto wa mwenye myumba
Mti wa matunda ndo daima unapigwa maweTree si ndio mti
Mawe yaliyopangana vizuri yanapendezesha mji.Mti wa matunda ndo daima unapigwa mawe
Maji ni uhai endapo utayatumie katika njia sahihiMawe yaliyopangana vizuri yanapendezesha mji.
Sahihi kupiga chaboMaji ni uhai endapo utayatumie katika njia sahihi
Chapo inapendeza ukiwa unefunga jicho mojaSahihi kupiga chabo
Si chabo, tunaita koziChapo inapendeza ukiwa unefunga jicho moja
Kozi kikojozi Bibi yako mchokoz kanitemea kooziSi chabo, tunaita kozi
Kooozi la kutemewa maachoni sio zuri Ila uuzii Ni balaaKozi kikojozi Bibi yako mchokoz kanitemea koozi