Atkinson
JF-Expert Member
- Jan 17, 2018
- 560
- 1,440
mkuu naomba samahani, nimeshindwa kuzingatia sheria ya mchezoTayari umeharibu uzi.. Unaanza na neno nililomalizia mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu naomba samahani, nimeshindwa kuzingatia sheria ya mchezoTayari umeharibu uzi.. Unaanza na neno nililomalizia mkuu!
Mchezo ndio unaenda hivyo boss.. Au hutaki apatikane mshindi?mkuu naomba samahani, nimeshindwa kuzingatia sheria ya mchezo
Mshindi wa sasa aliwahi kushindwa awali....Mchezo ndio unaenda hivyo boss.. Au hutaki apatikane mshindi?
Mbovu ukizipeleka benki zinakuwa nzimaAwali ni awali hakuna awali mbovu
Wanaziuza kwa bei juu bidhaa zilizojirudia (recycling)Eee! Halafu wanaziuza
Recycling inafanyikaje na ni kwa bidhaa gani hapa nchini zinazofanyiwa ?Wanaziuza kwa bei juu bidhaa zilizojirudia (recycling)
Zinazofanyiwa mara nyingi huwa ni zile bidhaa za plasticRecycling inafanyikaje na ni kwa bidhaa gani hapa nchini zinazofanyiwa ?
Plastic Moja wapo ni chupa za maji na yeyushwa kiwandani ..Zinazofanyiwa mara nyingi huwa ni zile bidhaa za plastic
Kiwandani ndio mahala pekee pa uzalishajiPlastic Moja wapo ni chupa za maji na yeyushwa kiwandani ..
Uzalishaji wa mbegu ni muhimu kwa mwanaumeKiwandani ndio mahala pekee pa uzalishaji
Mwanaume mashine[emoji298]Uzalishaji wa mbegu ni muhimu kwa mwanaume
Machine ni mtambo unaoendeshwa law nguvu za vitasa...Mwanaume mashine[emoji298]
Vitasa vililokiwa nikashindwa kuingia humu kwa muda.. Jamaa ukajihisi umeshashinda eeh?Machine ni mtambo unaoendeshwa law nguvu za vitasa...