Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Kimevunjika kitasa cha mlango...Kibuyu cha bibi kimevunjika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimevunjika kitasa cha mlango...Kibuyu cha bibi kimevunjika.
Chumbani kuna siri nzito usipekue...
Usipekua utakutana na yanayokuumizaChumbani kuna siri nzito usipekue...
Yanayokuumiza yamepungua?Usipekua utakutana na yanayokuumiza
Yamepungua? Mimi naona ndio yanazidi kuongezekaYanayokuumiza yamepungua?
Kuongezeka uzito sio kuzuri kwakoYamepungua? Mimi naona ndio yanazidi kuongezeka
Kwako na kwa wengine tuwe na matumaini..Kuongezeka uzito sio kuzuri kwako
Ushindi upi bila kujitahidi..?Nipeni ushindi
Kujitahidi bila tunzoUshindi upi bila kujitahidi..?
Tunzo limeandaliwa na wafadhili..Kujitahidi bila tunzo
Wafadhili wetu baadae wanaangukia kwenye siasa...Tunzo limeandaliwa na wafadhili..
Siasa za upinzani Tanzania ni siasa maji taka.Wafadhili wetu baadae wanaangukia kwenye siasa...
Maji taka haswa, watu ni wachumia tumbo...Siasa za upinzani Tanzania ni siasa maji taka.
Tumbo kubwa ni pakacha la mali za haramu..Maji taka haswa, watu ni wachumia tumbo...
Haramu ni tamu kuliko halaliTumbo kubwa ni pakacha la mali za haramu..
Haki uipate kwananihalali inapatikana kwenye haki
nani unayemuulizia🚶🚶🚶🚶Haki uipate kwanani