Xystus
JF-Expert Member
- Sep 16, 2017
- 291
- 330
Nini hicho unazungumzia?WCB kirefu chake ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini hicho unazungumzia?WCB kirefu chake ni nini?
Unazungumuzia uhuru wa mapenzi/mahusiano hapa jamiiforumNini hicho unazungumzia?
Tena usidharau kuvaa Barakoa...Jamiiforum nilipotea kitambo sana sasa nimerudi tena
Barakoa hatuvai tena wa TZ, hivi we mwamba upo Zamiluni kitambo sana kipindi kile na wakkna sakayo mzee baba bado humo humu unakaoenda haka kamchezo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tena usidharau kuvaa Barakoa...
Kamchezo haka kananoga na kanaunganishaBarakoa hatuvai tena wa TZ, hivi we mwamba upo Zamiluni kitambo sana kipindi kile na wakkna sakayo mzee baba bado humo humu unakaoenda haka kamchezo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kanaunganisha hasa ukiwa unakaelewa vizuriKamchezo haka kananoga na kanaunganisha
Vizuri sana na hilo jina lako la jf inaweza kuwa ndio mwaka wako wa kuzaliwaKanaunganisha hasa ukiwa unakaelewa vizuri
Kuzaliwa siyo dili muhimu kujikweza !!Vizuri sana na hilo jina lako la jf inaweza kuwa ndio mwaka wako wa kuzaliwa
Kujikweza kwa mwanamke ambaye hakupendi na hana hisia na wewe ni kazi bureKuzaliwa siyo dili muhimu kujikweza !!
Kuzaliwa kwa Yesu huwa ni mwezi wa ngapiVizuri sana na hilo jina lako la jf inaweza kuwa ndio mwaka wako wa kuzaliwa
Mkuu badilisha dira tuelekee Bahraini...Kuzaliwa kwa Yesu huwa ni mwezi wa ngapi
Hata hujakosea ni mwaka wangu wa kuzaliwa mkuu
Bahraini ndo nini?Mkuu badilisha dira tuelekee Bahraini...
Nini umesahau Bahari Hindi ilivyo ?Bahraini ndo nini?
Ilivyo ni ndogo mno kwa muonekano wa nje ila ndani sasa kubwa sanaNini umesahau Bahari Hindi ilivyo ?
Sana sana mapokezi na Uwepo wa bashasha !!!Ilivyo ni ndogo mno kwa muonekano wa nje ila ndani sasa kubwa sana
Bahasha nono za maendeleo tunapata sasa maana maendeleo haya chama.Sana sana mapokezi na Uwepo wa bashasha !!!
Chama ni mchezaji wa Simba.Bahasha nono za maendeleo tunapata sasa maana maendeleo haya chama.
Simba ni mnyama mkali sanaChama ni mchezaji wa Simba.
Sana sana uelewa na kujitambua...Simba ni mnyama mkali sana