Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Barabara za bongo ni pana mnoKabisa kuvuka barabara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Barabara za bongo ni pana mnoKabisa kuvuka barabara
Mnono mnono alivyojazia yule bi harusi...Barabara za bongo ni pana mno
Kihindi na kiswahili zoto ni lugha za kibantuHarusi za siku hizi ni movie za kihindi
Harusi ya yule mwimba za kanisani, duuuu sijui alimpata wapi, mbele ya baba mkwe huooo msambwandaMnono mnono alivyojazia yule bi harusi...
Kibantu wapi wakati wanayainuaKihindi na kiswahili zoto ni lugha za kibantu
Wananyanyuwa vyuma ili kujenga mwili kama baunsaKibantu wapi wakati wanayainua
Baunsa wa Dai anamlinda Zari na TiffaWananyanyuwa vyuma ili kujenga mwili kama baunsa
Latiffa ni mtoto mwerevu sana darasani...Baunsa wa Dai anamlinda Zari na Tiffa
Darasani kwetu hakuna madawatiLatiffa ni mtoto mwerevu sana darasani...
Stand up ni lugha ya kigeni sio woote tunayoilewa badilisha lugha TafadharLast man stand up
Tafadhari babu weweStand up ni lugha ya kigeni sio woote tunayoilewa badilisha lugha Tafadhar
Madawati ni changamotoDarasani kwetu hakuna madawati
Wewe miaka ni matarakimu tu.Tafadhari babu wewe
Changamoto ni serikaliMadawati ni changamoto
Wewe nakuheshimuWewe miaka ni matarakimu tu.
Nakuheshimu, nakujali na kukadiria ila unanichunia!!Wewe nakuheshimu
Nakuchunia kwa nia njemaNakuheshimu, nakujali na kukadiria ila unanichunia!!
Njema ya moyoni haitodhihiri hadi nione...Nakuchunia kwa nia njema