ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,891
- 13,750
Uliowekwa kwenye nini?kibudu ni kuchinjwa pasipo kufuata muongozo uliowekwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliowekwa kwenye nini?kibudu ni kuchinjwa pasipo kufuata muongozo uliowekwa
Nini hasa umelengaUliowekwa kwenye nini?
Umelenga shabaha kwa umakini.?Nini hasa umelenga
Umakini unahitajika haswa unapotaka kuoa.Umelenga shabaha kwa umakini.?
Kuoa ni muhimu ili kuwa na familia boraUmakini unahitajika haswa unapotaka kuoa.
Bora udhulumiwe kuliko kudhulumu !!Kuoa ni muhimu ili kuwa na familia bora
Kudhulumu ni hatia isiyo na ukomo.Bora udhulumiwe kuliko kudhulumu !!
Ukomo upi unaotegemea?Kudhulumu ni hatia isiyo na ukomo.
Unaotegemea mwisho mwemaUkomo upi unaotegemea?
Mwema mmoja alinikomboa ktk fedheha...Unaotegemea mwisho mwema
Ndugu hawa walimwengu usiwaAmini
Fikra yako na fikra zetu ndiyo rasilimali ya taifaUsimuamini yeyote, bali kiamini wewe na fikra yako
Taifa lenye vijana waogaFikra yako na fikra zetu ndiyo rasilimali ya taifa
Waoga bafuni kwa maji ya moto au baridi?Taifa lenye vijana waoga
Baridi,barida,barafuWaoga bafuni kwa maji ya moto au baridi?
Barafu huhifadhi mzogaBaridi,barida,barafu
Mzoga wa tembo umekutwa bila menoMwisho wake mzoga ?