Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali lazima idhibiti wananchi waharibifu..Meno ya tembo ni miongoni ya nyaraka za serikali
Waharibifu ni wahuni tu hapa mjiniSerikali lazima idhibiti wananchi waharibifu..
Mjini wamejaa watu waliyo kuwa na mwelekeo..Waharibifu ni wahuni tu hapa mjini
Mwelekeo wa taifa letu utakuwaje bila ya wabunge wa upinzani bungeni?Mjini wamejaa watu waliyo kuwa na mwelekeo..
Bungeni kuna vichwa tofauti akili tofauti ila lengo ni Amani na utulivu !!Mwelekeo wa taifa letu utakuwaje bila ya wabunge wa upinzani bungeni?
Yetu itabaki kwetu tuwajibike kuitunza na kuienzi...Amani na utulivu ndio tunu yetu
Kuienzi inawezekana lkn tabia za viongozi wetu wa kiafrika ndo chanzo kikuu cha uharibifu wa amaniYetu itabaki kwetu tuwajibike kuitunza na kuienzi...
Amani hainaga visingizio ati fulani au zaatani tenda wajibu wako matokeo yataonekanaKuienzi inawezekana lkn tabia za viongozi wetu wa kiafrika ndo chanzo kikuu cha uharibifu wa amani
Matokeo yataonekana kama viongozi wateule watafanya kazi kwa bidii, weledi na uadilifu kwa zao nyadhifa.Amani hainaga visingizio ati fulani au zaatani tenda wajibu wako matokeo yataonekana
Nyadhifa nyeti hukabidhiwa wasomi makini..Matokeo yataonekana kama viongozi wateule watafanya kazi kwa bidii, weledi na uadilifu kwa zao nyadhifa.
Makini lakin anaweza kuwa na kiteteNyadhifa nyeti hukabidhiwa wasomi makini..
Kitete hakiwezi katu kuwa kwenye Baraza hilo makini la JPMMakini lakin anaweza kuwa na kitete
Tanzania ni zaidi ya uijuavyoJPM kwan ni nan hapa tanzania
Uijuavyo si ndivyo ilivyoTanzania ni zaidi ya uijuavyo
Ilivyo ni tofauti na inavyoonekanaUijuavyo si ndivyo ilivyo
Inavyoonekana kama nchi kumbe!Ilivyo ni tofauti na inavyoonekana