zakiyah
JF-Expert Member
- Nov 4, 2011
- 307
- 139
Mlima gani ?
Gani hiyo kwio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlima gani ?
Kwio hiyo hiyo kwio! Huwa nasikia wakiimba lakini sijui maana yakeKwio !! Najua basi Kwio ??
Akee ndio kiswahili cha wapi?Yake kelele kwa kwio akee
Wapi? Hapa hapa bongoAkee ndio kiswahili cha wapi?
Bongo kama bongo? Au bongomanWapi? Hapa hapa bongo
wapi unaelekea asubuh nakuona na shemejiAkee ndio kiswahili cha wapi?
bongoman hakuwa mbongoBongo kama bongo? Au bongoman
Akee ndio kiswahili cha wapi?
Mbongo ndio mtu yupi?wapi unaelekea asubuh nakuona na shemeji
bongoman hakuwa mbongo
mbongo ni mtanzaniaMbongo ndio mtu yupi?
Mtanzania ni gazetimbongo ni mtanzania
gazeti ni ID ya mwanaJF mwenzetuMtanzania ni gazeti
Mwenzetu kweli, au mwenzaogazeti ni ID ya mwanaJF mwenzetu
mwenzao akinanani mkuu,yeye pia ni mbongo sio mbelgijiMwenzetu kweli, au mwenzao
Mbelgiji ndio nani kwanimwenzao akinanani mkuu,yeye pia ni mbongo sio mbelgiji
kwani mkuu humjua au unanitafutia banMbelgiji ndio nani kwani
Ban huwezi kupewa mana dunia nzima inamjua kuwa ni lissukwani mkuu humjua au unanitafutia ban
"Lissu akifungua kampeni Kawe",ndiyo video ninayoitazama sasaBan huwezi kupewa mana dunia nzima inamjua kuwa ni lissu
Sasa mmeanza mambo ya siasa"Lissu akifungua kampeni Kawe",ndiyo video ninayoitazama sasa