ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,891
- 13,750
Husika na kichwa tajwa hapo juu..Mbuga za Tanzania zimebarikiwa wanyama wengi wa jamii mbalimbali na lakufurahisha zaidi kumeanza kuuzwa Nyama pori katika bucha moja wapo katika zile arobaini na tisa zilizopatiwa usajili na vibali na mamlaka husika.