Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Wasiojulikana kwani bado wapo?Usiemjua hawana tofauti na wasiojulikana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasiojulikana kwani bado wapo?Usiemjua hawana tofauti na wasiojulikana
Wapo wengi waliyo tangulia mbele ya hakiWasiojulikana kwani bado wapo?
Haki inafaa kudaiwa kama mtu ametimiza wajibuWapo wengi waliyo tangulia mbele ya haki
Wajibu wangu ni kuwasaidia wasio na uwezoHaki inafaa kudaiwa kama mtu ametimiza wajibu
Uwezo wa kufanya niniWajibu wangu ni kuwasaidia wasio na uwezo
Nini kilicho sababisha jengo la ajabu kuporomoka?Uwezo wa kufanya nini
Jengo lilikuwa limisha fika mda wake wa kuishi(expires)Nini kilicho sababisha jengo la ajabu kuporomoka?
Kuishi bila kuwa na malengo au hata mipango ni uzembe..Jengo lilikuwa limisha fika mda wake wa kuishi(expires)
Uzembe wa mtoa mada hii Ndio umefanya watu wachizike iviKuishi bila kuwa na malengo au hata mipango ni uzembe..
Ivi wewe una akili kweliUzembe wa mtoa mada hii Ndio umefanya watu wachizike ivi
Kweli sina akili mbaka we unachangia madaIvi wewe una akili kweli
mada aina shida tatizo ni wachangiajiKweli sina akili mbaka we unachangia mada
Wachangiaji wengi wana maono chanya!!mada aina shida tatizo ni wachangiaji
Chanya na hasi havikai pamoja ndiyo maana wamechagua upande ambao unafaa.Wachangiaji wengi wana maono chanya!!
Unafaa kuheshimiwa kwa taaluma yako pevu..Chanya na hasi havikai pamoja ndiyo maana wamechagua upande ambao unafaa.
Pevu huanza na kupevuka kwa akili.Unafaa kuheshimiwa kwa taaluma yako pevu..
Sawa ulivyo mpokea na msafirisha ...Akili iliyo katika kichwa cha mwili wenye tumbo lenye njaa,haiwezi kufikiri sawa sawa.
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Msafirishaji anapaswa kuwa makini kwenye barabaraSawa ulivyo mpokea na msafirisha ...