Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Mvuto wa hadithi yoyote ile uko kwa msimuliaji mzuri na mwenye uelewa mpana wa lughaAjabu ya hadithi za AbuNuasi zinamvuto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mvuto wa hadithi yoyote ile uko kwa msimuliaji mzuri na mwenye uelewa mpana wa lughaAjabu ya hadithi za AbuNuasi zinamvuto
Lugha huzaa lafudhi,lahaja na kauliMvuto wa hadithi yoyote ile uko kwa msimuliaji mzuri na mwenye uelewa mpana wa lugha
Kauli yangu nasema nakupendaLugha huzaa lafudhi,lahaja na kauli
Nakupenda ndani ya moyo bila kukuona ulivoKauli yangu nasema nakupenda
Ulivo ndivyo hivyo ulivyo.Nakupenda ndani ya moyo bila kukuona ulivo
Ulivyo hivyo nakupenda bila kuongeza vikomborezo...Ulivo ndivyo hivyo ulivyo.
Vikorombezo ndo zako, utapenda wangapi!?Ulivyo hivyo nakupenda bila kuongeza vikomborezo...
Wangapi wamegundua kuwa Tanzania [emoji1241] imebadilika sana tangu JPM ayakwae madaraka?Vikorombezo ndo zako, utapenda wangapi!?
Madaraka ni majukumu yenye uzito na busaraWangapi wamegundua kuwa Tanzania [emoji1241] imebadilika sana tangu JPM ayakwae madaraka?
Busara na hekima ni mali adimu kuliko dhahabu & fedhaMadaraka ni majukumu yenye uzito na busara
Fedha humfedhehesha lofa bin taaban...Busara na hekima ni mali adimu kuliko dhahabu & fedha
Taaban hali yake maututiFedha humfedhehesha lofa bin taaban...
Mahututi mgonjwa yule hali yakeTaaban hali yake maututi
Yake maarifa yamekuwa muhimu sana kwa kizazi cha sasa cha kasi katika sayansi & teknolojiaMahututi mgonjwa yule hali yake
Teknolojia na Mungu ni vitu vya kuogopwa sana,aliseme RugeYake maarifa yamekuwa muhimu sana kwa kizazi cha sasa cha kasi katika sayansi & teknolojia
Ruge asingesema viogopwe bali tujue manufaa husika katika maisha yetu ya kila sikuTeknolojia na Mungu ni vitu vya kuogopwa sana,aliseme Ruge
Siku ya leo nategemea kupokea WataliiRuge asingesema viogopwe bali tujue manufaa husika katika maisha yetu ya kila siku
Watalii hao uwafundishe Kiswahili, usimsahau huyu Zuleykha asiyejua nini tunafanya hapaSiku ya leo nategemea kupokea Watalii
Hapa mtandaoni kuna mapungufu na walakinWatalii hao uwafundishe Kiswahili, usimsahau huyu Zuleykha asiyejua nini tunafanya hapa