Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Riba ndo teso la mkopajiItapunguza vp wakati kuna ongezeko la riba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Riba ndo teso la mkopajiItapunguza vp wakati kuna ongezeko la riba
Mkopaji Harusi hulipa matanga...Riba ndo teso la mkopaji
Matanga ya rohoni, riwaya ya Badi M. BaoMkopaji Harusi hulipa matanga...
Bao la penalti ndiyo liliizamisha timu bingwaMatanga ya rohoni, riwaya ya Badi M. Bao
Bingwa wa Simba super cup atakua ni mnyamaBao la penalti ndiyo liliizamisha timu bingwa
Mnyama huyo kwioBingwa wa Simba super cup atakua ni mnyama
kwio ni mlio uliopotwa na wakatiiMnyama huyo kwio
Wakati uliopita au uliopo?kwio ni mlio uliopotwa na wakatii
uliopo pigia mstariiiWakati uliopita au uliopo?
Mstari wa point umetutoa Chanuliopo pigia mstariii
Kwio Watanzania tuna lengo moja tu: kuijenga nchi yetu kwa namna madhubuti ili iweze kushinda vita dhidi ya maadui 3: ujinga, maradhi & umaskiniMnyama huyo kwio
Umasikini tutaufuta kwa nguvu na mshikamano wetu hautoonekana kbs ktk ramani..Kwio Watanzania tuna lengo moja tu: kuijenga nchi yetu ambayo madhubuti iliyoshinda vita dhidi ya maadui 3: ujinga, maradhi & umaskini
Umasikini tutaufuta kwa nguvu na mshikamano wetu hautoonekana kbs ktk ramani..
Ramani iliyoko mikononi mwa JPM aliyokabidhiwa na Mola huonesha wazi tuko njia sahihi na mwelekeo sahihi na mwendo sahihi na mahali mwafaka ili kutokomeza kabisa mahasimu hawa wa taifa & janga kuu la dunia
Sana naona sijakuelewa ,wajinga ni watu wa aina ganiDunia hii ina watu wajinga sana...
Aina gani ya Perfume nikuletee ?Sana naona sijakuelewa ,wajinga ni watu wa aina gani
Nikuletee pafyum ya Dubai ama u.s.aAina gani ya Perfume nikuletee ?
U. S. A itanifaa zaidiNikuletee pafyum ya Dubai ama u.s.a
Zaidi ya hayo nikuletewa parfum feki...U. S. A itanifaa zaidi
Feki hiyo baki nayo siitakiZaidi ya hayo nikuletewa parfum feki...