Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Utafiti na mtazamo wa mustakabali una onesha nchini kuna fursa za uwekezaji
Uwekezaji mzuri ni ule wenye kulenga kupata maslahi upande mmoja, wakati huohuo ukiwajengea upande wa pili uwezo ili nao wajikwamue kiuchumi. Hii ni tofauti kabisa na mfumo-wivi wa kibepari na kibeberu na ukoloni mamboleo ambapo vyanzo vyote vya uchumi havina budi kuwa mikononi mwa mabwanyenye huku raia, ambao kwa sehemu kubwa ndio watumikishwa na wajenzi wa mapato hayo, wanafukarishwa na kufanywa ombaomba
 
OmbaOmba ndiyo kauli yangu comment ziwe fupi
 
Back
Top Bottom