Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Vituko kama vya Sokomoko au Ndumilakuwili?mechi ya simba na yanga hakika ni vituko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vituko kama vya Sokomoko au Ndumilakuwili?mechi ya simba na yanga hakika ni vituko
Ndumilakuwili wapo kila kona ya taifa letu wakidai kuipenda nchi yao, wakati huohuo wanatamani ivurugike, isifanye jitihada za maendeleo, isiwe na viongozi makini wanaopiga vita rushwa, ufisadi, uzembe, uhujumu-uchumi, ukuwadi na ubadhirifu wa mali za ummaVituko kama vya Sokomoko au Ndumilakuwili?
Mali za umma zinatafunwa na wajanja wachache.Ndumilakuwili wapo kila kona ya taifa letu wakidai kuipenda nchi yao, wakati huohuo wanatamani ivurugike, isifanye jitihada za maendeleo, isiwe na viongozi makini wanaopiga vita rushwa, ufisadi, uzembe, uhujumu-uchumi, ukuwadi na ubadhirifu wa mali za umma
Wachache ndiyo wapo makini kutunza resourcesMali za umma zinatafunwa na wajanja wachache.
Resources ni njia m'badala ya kuongeza kipatoWachache ndiyo wapo makini kutunza resources
Kipato kipo na kitaendelea kukuwa madamu umma unaongezeka..Resources ni njia m'badala ya kuongeza kipato
Umma unaongezeka kutambua mafanikio MAKUBWA SANA yaJPM tena kwa kipindi kifupiKipato kipo na kitaendelea kukuwa madamu umma unaongezeka..
Kifupi nyundo tuUmma unaongezeka kutambua mafanikio MAKUBWA SANA yaJPM tena kwa kipindi kifupi
Umma unaongezeka kutambua mafanikio MAKUBWA SANA yaJPM tena kwa kipindi kifupi
Tupo PamojaKifupi nyundo tu
Tulia tu usikilize ya walimwengu maana ni mazitoKifupi nyundo tu
Pamoja na yote bado siamin haya yanayoendeleaTupo Pamoja
Mengine yanakera sanaTulia tu usikilize ya walimwengu maana ni mazito
Mazito ambapo naomba tuishie tu hapa😥Tulia tu usikilize ya walimwengu maana ni mazito
Hapa ni petu tusitegemee miujizaMazito ambapo naomba tuishie tu hapa😥
Miujiza gani tena jamaniHapa ni petu tusitegemee miujiza
Jamani ulimwengu wa sasa ni sintofahamu !!Miujiza gani tena jamani
Sintofahamu inayoleta mawazo kedekede!Jamani ulimwenguni wa sasa ni sintofahamu !!
Kedekede maana yake nnSintofahamu inayoleta mawazo kedekede!
Nini kinakufanya usilale mpaka muda huu?Kedekede maana yake nn
Huu mda??nilikuwa nakusuribi nikwambie leo sijakuona mitaa hiiNini kinakufanya usilale mpaka muda huu?