Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Utachelewa kazini na kuwa kero kwa boss onlyalvira

Onlyalvira should know that maendeleo ya kweli yanaletwa na kiongozi mwenye kuthubutu, mzalendo kindakindaki, mcha-Mungu, awapendaye raia wake, na mpiga-vita rushwa, ufisadi & ubadhirifu wa mali za umma -- huyo ndiye Bulldozer JPM katika ubora wake; anatakiwa atawale hadi miaka mia tano huko
 
Huko unakoelekea ndiyo unaharibu sasa mitano+mitano inatosha na katiba si inaeleza hivyo
 
Hivyo nisemavyo ndiyo maamuzi ya wengi Watanzania kwa sababu tunajua njozi ya JPM za ustawi & maendeleo ya nchi yetu hajapata kuwa nazo kiongozi yeyote; lazima tutake tusitake aongezewe muda mwingi tu mpaka Tanzania iwe zaidi ya Ulaya, Urusi na Marekani kwa pamoja
 
Pamoja na utashi wako na maono yako umeshindwa kung'amua kuwa mifumo imara ya kiserikali ndiyo itatuletea viongozi bora na si kumtegemea mtu mmoja taifa zima akifa?
 
Mwema kwa viumbe na mimea na kauni zote bila ubaguzi...
Bila ubaguzi wala hiana, kuna watu wanashindwa kutambua kuwa unaweza kuwa na mfumo imara ama Katiba madhubuti kabisa, lakini kama kiongozi wa juu ni mbovu, tambua mfumo kwa peke yake huwa haujisimamii wenyewe; lazima kiongozi awe mzalendo, mwadilifu na mpenda-maendeleo ndipo tunaweza kuzungumzia habari ya mfumo na katiba makini
 
Katiba makini itapatikana tutakapo kaa na kujadili pamoja mezani...
 
Back
Top Bottom