Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Zaidi ya magari 20 yamepatikana mpakani
Mpakani mwa Tanzania upande wa kusini walitaka kutushambulia wavamizi kutoka Msumbiji, ila IGP Sirro pamoja na timu yake makini ya makachero na ^vijana wa kazi^ wakawadhibiti vilivyo, sasa wametokomea kusikojulikana -- heko JPM kwa uongozi madhubuti. 2025 bado muhula ni wako huendi popote, tunakuomba utawale miaka mingi tu hata elfu ngapi huko
 
Huko unakosema wewe wengine hatutaki [emoji57]mi 5 inamtosha sana
 
Unafutwa kwa sababu zipi? Yani usifutwe uzi wa "Picha za warembo wakali" ufutwe huu!!
Huu sasa ni mwanzo wa utandawazi & sayansi na teknolojia kama Obama wa Bongo naye siku hizi anajua Kiswahili. Haya ni mafanikio makubwa sana kwa uongozi wa serikali ya awamu tano ya JPM kwa kumudu kuisambaza lugha ya taifa hadi Marekani
 
Marekani wanawajiri jirani zetu waKenya ktk kusomesha lugha hii ya kiswahili, Jee siye wTZ hatuwezi kuwajibika?
 
Back
Top Bottom