Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Saa ngapi mnada wa mifugo utaanza kunadiwaUdhuru wangu leo sijui hadi saa ngapi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saa ngapi mnada wa mifugo utaanza kunadiwaUdhuru wangu leo sijui hadi saa ngapi..
Kunadiwa maana yake nini??Saa ngapi mnada wa mifugo utaanza kunadiwa
Nini? Kwani hujaelewa hapoKunadiwa maana yake nini??
Hapo atakuwa ameelewa sema ana zinguaNini? Kwani hujaelewa hapo
Anazingua muda wote kisa utani uliopindukia...Hapo atakuwa ameelewa sema ana zingua
Uliopindukia mtoniAnazingua muda wote kisa utani uliopindukia...
Mtoni kuna raha yake...Uliopindukia mtoni
Raha yake niniMtoni kuna raha yake...
Nini wewe kila uzi upo, sepa basi hapaRaha yake nini
Hapa naona mmeanza utaniNini wewe kila uzi upo, sepa basi hapa
Utanikuta hapa hapa ukirudi
Ukirudi usiku siwezi kukufungulia mlangoUtanikuta hapa hapa ukirudi
Ukirudi nyuma ktk uzi huu utakuta historia ndefu..Utanikuta hapa hapa ukirudi
Ndefu sana hiyo ikate kwanzaUkirudi nyuma ktk uzi huu utakuta historia ndefu..
Ndefu sana hiyo ikate kwanza
Wapi kuna bia za baridi?Kwanza kuna watu waliopotea humu sijui walienda wapi?
Baridi inakimbiza wadudu..Wapi kuna bia za baridi?
Wadudu wanaoruka na kutambaaBaridi inakimbiza wadudu..
Kutambaa kulimfanya nyoka asionekane..Wadudu wanaoruka na kutambaa