Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Upinde wangu siuoni nataka nikawinde chirikuMpango wa sasa ni upi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upinde wangu siuoni nataka nikawinde chirikuMpango wa sasa ni upi?
Kuambukiza ugonjwa gani?Chiriku wengi wana madhara ya kuambukiza..
Gani? ebu anza kulitungia hilo neno sentensiKuambukiza ugonjwa gani?
Sentensi ipi unayoitaka weweGani? ebu anza kulitungia hilo neno sentensi
Wewe si ulisema unahama nchi au naota?Sentensi ipi unayoitaka wewe
Naota ndoto tata,ndio maana mpaka sasa sijahama.Wewe si ulisema unahama nchi au naota?
Sijahama ingawa mama mwenye nyumba kanikalia kooniNaota ndoto tata,ndio maana mpaka sasa sijahama.
Kooni panawasha sanaSijahama ingawa mama mwenye nyumba kanikalia kooni
Kooni panawasha sana
Atakusaidia ukiwa una vigezo na mantiki chanyaSana sana tangawizi ukitumia itakusaidia
Chanya humaanisha nini?Atakusaidia ukiwa una vigezo na mantiki chanya
Nini unataka kujua weweChanya humaanisha nini?
Wewe nijibu kwanzaNini unataka kujua wewe
Kwanza sijaelewa ndio maana nimeuliza,hujambo??Wewe nijibu kwanza
Hujambo!! sijui nikujibu au niache ha ha mimi sijambo kabisaKwanza sijaelewa ndio maana nimeuliza,hujambo??
Kabisa kabisa au barabara au sawa sawa, bora nitumie sawa sawiaHujambo!! sijui nikujibu au niache ha ha mimi sijambo kabisa
Sawia sawa na linganifuKabisa kabisa au barabara au sawa sawa, bora nitumie sawa sawia
Linganifumaniwa lingalikufa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzee hapo pagumu nimejaribu tu.Sawia sawa na linganifu