Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Unauliza vipi namna ya kutuliza...?
Kutuliza HOFU isiyo na msingi wowote ni pale Watanzania tunaposikiliza ushauri wa serikali wa kuchapa kazi kwa bidii, kuchukua tahadhari, kumtanguliza Mola na kuwa mstari wa mbele katika kushiriki juhudi za ustawi na maendeleo ya taifa letu zuri la Tanzania
 
Back
Top Bottom