3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Zamani mambo yalikuwa shwari kuliko sasaAfya yake imeanza kuimalika na kurudi kwenye hali yake kama zamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zamani mambo yalikuwa shwari kuliko sasaAfya yake imeanza kuimalika na kurudi kwenye hali yake kama zamani
Sasa wewe 3 Angels message unasema kuwa mambo yalikuwa shwari kulisi sasa kweli?Zamani mambo yalikuwa shwari kuliko sasa
Kweli zamani tuliishi kwa wasaa na umaridadi...Sasa wewe 3 Angels message unasema kuwa mambo yalikuwa shwari kulisi sasa kweli?
Acha kuchafuwa hewa !!Umaridadi wake uliletwa na uchakataji wa papuchi
Hewa nzuri sana haya maeneo ya juuAcha kuchafuwa hewa !!
Hewa nzuri sana haya maeneoAcha kuchafuwa hewa !!
Maneno ya Mchungaji ktk maombi yalikwa kuntu..Hewa nzuri sana haya maeneo
Kuntu maana yake nini?Maneno ya Mchungaji ktk maombi yalikwa kuntu..
Nini sasa, si mbadilishe madaKuntu maana yake nini?
Mada ya leo itahusu kilimoNini sasa, si mbadilishe mada
Kilimo ni uti wa mgongoMada ya leo itahusu kilimo
Mgongo wa ardhi tunakanyaga kila siku ila kuna siku itatumeza !!Kilimo ni uti wa mgongo
Itatumeza mimi na wewe na wapendwa wengineMgongo wa ardhi tunakanyaga kila siku ila kuna siku itatumeza !!
Wengine siwajali ispokuwa tu wadamuItatumeza mimi na wewe na wapendwa wengine
Wadumu milele na mileleWengine siwajali ispokuwa tu wadamu
Wanadu tu haya sawa naona unatutenga na wewe T 1990 ELY uwe unatumia tafsida una maneno makaliWengine siwajali ispokuwa tu wadamu
Milele nitaendelea kukurekebisha mpaka unyookeWadumu milele na milele
Hapa hapamtoshi anahitaji msaada zaidiUnyooke vipi tena zaidi ya hapa
Zaidi ya msaada nini kingine kitamfaa