Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashallah!ila huyu T 1990 ELY huwa anatafuna au napuliza [emoji1787][emoji1787]Mwanamke! Mimi ni mwanaume tena shababy Mashallah
Napuliza na kung'ataMashallah!ila huyu T 1990 ELY huwa anatafuna au napuliza [emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kung'ata unaweza wewe maana akila zako huwa zinanifurahisha[emoji1787][emoji1787]Napuliza na kung'ata
Zinanifurahisha zile swaga za jamaa ayesemaga sema koma mtoto wa dadaKung'ata unaweza wewe maana akila zako huwa zinanifurahisha[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada ni ndugu yako wa kikeZinanifurahisha zile swaga za jamaa ayesemaga sema koma mtoto wa dada
Kikeni ndo sehemu ipi/gani ya mwili wa binadamu?
Binadamu sio watuKikeni ndo sehemu ipi/gani ya mwili wa binadamu?
Watu ni wajanja mnoBinadamu sio watu
Mno zaidi ya mno, lakini ujanja wao ni wa kijingaWatu ni wajanja mno
Kijinga kivipi wkt wanatengeneza pesaMno zaidi ya mno, lakini ujanja wao ni wa kijinga
Pesa ina mambo mengi na ukiiendekeza itakupotezea heshima yakoKijinga kivipi wkt wanatengeneza pesa
Pesa ni thamani lakini noti ni karatasi. !!Kijinga kivipi wkt wanatengeneza pesa
Heshima yako ndiyo thamani ya utu wako kutukuzwa...
Kutukuzwa watu wengine wanapenda sanaHeshima yako ndiyo thamani ya utu wako kutukuzwa...
Wanapenda sana kuwahurumia wajane, mayatima na maAjuza !!
Maajuza tuwapende na kuwatunza maana walitutunza pia hapo nyuma.Wanapenda sana kuwahurumia wajane, mayatima na maAjuza !!