Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Nyuma ya kila mwanaume mwenye mafanikio yupo mwanamke, sio lazima awe mke mara nyingi huwa ni mama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyuma ya kila mwanaume mwenye mafanikio yupo mwanamke, sio lazima awe mke mara nyingi huwa ni mama.
Mama wa hawara hupika vitumbuwa vitamu...Nyuma ya kila mwanaume mwenye mafanikio yupo mwanamke, sio lazima awe mke mara nyingi huwa ni mama.
Vitamu kweli?Mama wa hawara hupika vitumbuwa vitamu...
Kweli wewe hujaonjeshwa au ndo tasnifa..Vitamu kweli?
Tasnifa تسنيفا sil vous plait monsier, ni msamiati mpya kwanguKweli wewe hujaonjeshwa au ndo tasnifa..
Kwangu pakavu ntilie mchuzi..Tasnifa تسنيفا sil vous plait monsier, ni msamiati mpya kwangu
Mchuzi wa nini?Kwangu pakavu ntilie mchuzi..
Nini maana ya chaputa?Mchuzi wa nini?
Chaputa ni Chama cha Puli Tanzania ila mimi sipo huko[emoji23]Nini maana ya chaputa?
Tupo wengi watiifu wa sheriaHuko huko ulipo tupo
Sheria ya ndoa inasemaje pale mwanamke/mke anapomnyima tendo la ndoa mme wake?Tupo wengi watiifu wa sheria
Mme wake? Mbona hili halina ubishi lazima mke akubaliane na kile anachoambiawa, na mume wake si mahakama tuSheria ya ndoa inasemaje pale mwanamke/mke anapomnyima tendo la ndoa mme wake?
Tulizeni munkari nyie wanaume mawazo na mihemko yenu yote mnaipelekesha migodini..Mme wake? Mbona hili halina ubishi lazima mke akubaliane na kile anachoambiawa, na mume wake si mahakama tu
Mgodini tulikula sana maishaTulizeni munkari nyie wanaume mawazo na mihemko yenu yote mnaipelekesha mgodini..
Maisha haya, kuna mtu nilimkopa elfu30 hadi simu amezima sasaMgodini tulikula sana maisha
Sasa msubirie hapo utakapowasha Simu ndipo umfuate...Maisha haya, kuna mtu nilimkopa elfu30 hadi simu amezima sasa
Umfuate kwake atakuwepo leoSasa msubirie hapo utakapowasha Simu ndipo umfuate...
Leo tena, tatizo yeye yupo mwanza mimi nipo darUmfuate kwake atakuwepo leo
Dar-es-Salaam ni neno la kiarabu limeandikwa ktk msahafu tukufu na maana yake ni Makazi ya Amani !!Leo tena, tatizo yeye yupo mwanza mimi nipo dar