onlyalvira
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 1,499
- 3,113
Amani na upendo ni vitu muhimu sanaDar-es-Salaam ni neno la kiarabu limeandikwa ktk msahafu tukufu na maana yake ni Makazi ya Amani !!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amani na upendo ni vitu muhimu sanaDar-es-Salaam ni neno la kiarabu limeandikwa ktk msahafu tukufu na maana yake ni Makazi ya Amani !!
Muhimu sana miongoni kujenga ukaribu na urafiki
Urafiki wa kudumu hujengwa na uwepo wa hela/fedha/pesaMuhimu sana miongoni kujenga ukaribu na urafiki
Pesa usiipe sana nafasi itapoteza utu wako japo ni muhimu piaUrafiki wa kudumu hujengwa na uwepo wa hela/fedha/pesa
Silaha pesa utu mzigo tu
Tumeelewana vizuri mkuuSilaha pesa utu mzigo tu
Tumeelewana vizuri mkuu
Laki si pesa milioni hela ya chai
Tamu sana Kiporo cha Zanzibar pizza utakula hadi ujitafune vidole !!Chai iloyokolea viungo ni tamu sana
Vidole vya mtoto mdogo ni vilainiTamu sana Kiporo cha Zanzibar pizza utakula hadi ujitafune vidole !!
Vilainishi vipo ila aina nyingi ni feki chukuwa tahadhari..Vidole vya mtoto mdogo ni vilaini
Tafadhari mwanga ndani hayo majiVilainishi vipo ila aina nyingi ni feki chukuwa tahadhari..
Nalog off kwa sasa, nitarudi tena baadaeMaji yamezidi unga kule Nairobi
Nalog off
Baadae utanikuta nimesimama foleni...Nalog off kwa sasa, nitarudi tena baadae
Foleni za Dar ni kero kwanguBaadae utanikuta nimesimama foleni...
Kwangu sipendi makeleleFoleni za Dar ni kero kwangu
Makelele ya watoto ni sherehe ila makelele ya viwanja ni karaha...Kwangu sipendi makelele
Karaha ni kutojua wapi alipo raisMakelele ya watoto ni sherehe ila makelele ya viwanja ni karaha...
Hapa tumekusanya bidhaa mbalimbali kesho vitapigiwa mnada !!